Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Wananchi.

WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO

Idara ya Habari - MAELEZO

Hoja za Wananchi

Tovuti hii ya wananchi imetengenezwa ili kuwawezesha wananchi wa Tanzania:

  • Kuwasiliana na Serikali kupitia Mtandao
  • Kupeleka maoni, mawazo na Hoja kwa serikali
  • Kutafuta na kufuatilia hoja/maswali yaliyopelekwa Serikalini kupitia tovuti kuu.

Wananchi wanaweza kutoa Hoja yao yanayohusu udhibiti wa taka ngumu, maji taka, mifereji, viwanda, masuala ya leseni, ugavi wa maji, udhibiti wa wadudu waharibifu, majengo, uvamizi wa maeneo, n.k kwa njia ya zilizoorodheshwa hapa chin;

  1. Kwa kujaza form ya usajili wa Hoja kwenye mtandao kwa kutumia kompyuta iliyounganishwa kwenye intaneti, iwe nyumbani/ ofisini au kibanda cha huduma za intaneti kwa kutembelea Tovuti yetu Wananchi.
  2. Kwa kutuma ujumbe mfupi kwenye namba ....
  3. kwa kufuatilia ofisini kwetu.
  4. Kwa kutuma Barua kwenda kwa: Mkurugenzi, Idara ya Habari(MAELEZO) S.L.P 8031, Dar es Salaam.
Maswali yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQs) kuhusu kutoa Hoja.
Andika Hoja yako
Fuatilia Hoja yako