Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Wananchi.

WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO

Idara ya Habari - MAELEZO

Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara
Kitambulisho cha Waandishi wa Habari (Press Card) kinatumika kwa muda gani.
  • Kitambulisho cha Waandishi wa Habari kinatumika kwa mwaka mmoja kuanzia Mwezi Januari hadi mwezi Desemba ya mwaka kilipotolewa.
Lini nitapata majibu
  • Majibu ya swali lako yata[patikana baada ya siku tano za kaz.Iwapo majibu ya swali lako hayajapatikana utafahamishwa.