Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Wananchi.

WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO

Idara ya Habari - MAELEZO

Jifunze kuhusu
 • Hatua ya 1:
  Ingia kwenye fomu ya Mrejesho kwa kubonyeza kitufe cha Weka Hoja.
 • Hatua ya 2:
  Jaza fomu ya mrejesho
   Maelekezo mafupi kuhusu fomu ya mrejesho:
  1. Chagua aina ya Mrejesho:
   Katika kipengele cha aina ya mrejesho, unatakiwa kuchagua aina ya mrejesho unaohitaji kuwasilisha (mfano: Unaweza toa maoni,malalamiko n.k)
  2. Chagua aina ya Kundi
   katika sehemu ya Kundi, hapa unatakiwa kuchagua aina ya kundi kulingana na hoja yako unayotaka kuwasilisha. (mfano, Kama hoja yako inahusiana na mambo ya Ardhi basi utachagua kundi la Ardhi,or kama ni Mambo ya rushwa basi utachagua kundi la Rushwa n.k)
  3. Kuwasilisha taarifa zako binafsi
   katika sehemu hii unapewa nafasi ya kutoa taarifa zako kama vile majina yako, sehemu unayoishi na baadhi ya taarifa muhimu. Hii sehemu si lazima kujaza, kwa wale ambao wanapenda kutoa taarifa zao binafsi basi wanatakiwa kuchagua kitufe cha Ndio. ukichagua kitufe cha Ndio fomu hii hapa chini itaonekana kwa ajili ya kuweka taarifa zako.
  4. Kiambatanisho
   Kiambatanisho ni aina yoyote ya faili,picha ambazo zipo katika mfumo wa kidigitali ambazo unaweza ambatanisha katika maelezo ya hoja yako kama udhibitisho. Aina ya mafaili yanayoruhusiwa na mfumo ni ( .pdf, .doc, .docx, JPEG, JPG, PNG).
  5. Mada/Maelezo na mapendekezo
   Kwanza unatakiwa kuandika maada ya hoja yako ( kama kichwa cha habari cha hoja yako). Pili katika kiboksi cha maelezo, unatakiwa kutoa maelezo ya kutosha yanayoelezea hoja yako kwa umakini zaidi ili
 • Hatua ya mwisho:
  Bonyeza kitufe cha Tuma ili kuwasilisha hoja yako Serikalini