Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tovuti Rasmi ya Wananchi.

WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO

Idara ya Habari - MAELEZO

Kufuatilia Majibu
 • Fungua tovuti www.wananchi.go.tz

  - Chagua sehemu ya Fuatilia Majibu.

  - Ingiza namba yako ya tiketi.

  - Bonyeza kitufe kilichoandikwa Fuatilia Tatizo Lako.

  - Utapata jibu la hoja yako.

 • Ujumbe mfupi wa simu (sms), Fungua sehemu ya ujumbe mfupi

  - Andika neno JIBU acha nafasi kisha andika namba ya tiketi yako.

  - Tuma kwenda namba 1500.

  - Baada ya muda utapata jibu la hoja yako.

 • Barua

  - Barua huchukua muda kufika, hata hivyo utapata majibu kwa njia ya barua ikiwa ni pamoja na nambari ya tiketi yako kwa ufuatiliaji zaidi.

 • Kutembelea ofisi ya Serikali

  - Fika katika ofisi ya Serikali baada ya siku tano, onana na afisa habari wa Serikali kwa ajili ya majibu huku ukiwa na namba yako ya tiketi.